Watoto wa nje wanatesa mno. Imagine mtu kumuona mwanae saa sita usiku

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Nilikua nimekaa mahali mida ilikua imekwenda kidogo.

Sasa akaja jamaa akapaki hapo.

Zikapita dakika kumi akatoka mwanamke na mtoto mdogo wa kiume.

Akaingia ndani ya usafiri wa jamaa wakaongea like 30 mins.

Then wakaagana.

Sasa mtu unapata tabu kuona mwanao mida ya wachawi mbaya sana.
 
Duh. Aisee unafuatilia Mambo ya watu!
Ukahesa dakika ukakuta Ni 30, ukamcheki mtotoukagundua Ni wakiume.
Vipi jamaa alichezea shanga kidogo kwa dakika hizo 30?
 
ulithibitisha ni mwanao kweli lakini?πŸ’

na hizo like 30mnts ulikua ukiongea na mwanao au mzazi mwenzio?πŸ’
 
Chai
 
Mkuu....
Unge endela kukaa hapo mahala, I'm sure unge waona baba wanne wa mtoto wote wakija kupaki hapo kila mmoja kwa muda wake...πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…