Watoto wa pande za Kibaki Kenya hakunaga, warembo kupitiliza

kwani kuna pande za Kibaki Libya?

kwani hakuna wakenya wanaoish libya,hao tutaita pande za kibaki libya,au ujui kiswahili chetu vijana,sorry ni vile sijui umri wako,shikamoo babu hahahahaaa
 
kwani hakuna wakenya wanaoish libya,hao tutaita pande za kibaki libya,au ujui kiswahili chetu vijana,sorry ni vile sijui umri wako,shikamoo babu hahahahaaa
Sawa, unaweza kunicheka kwa kuzeeka, mimi ni babu, kweli.

Sawa wewe unasema ni kijana, unajua Kiswahili, halafu unaandika "Ujui." "Ujui" ndio nini? Unaandika kitu kama "pande za Kibaki Kenya."
Wakati tunajua Kenya ni kwa Kibaki tangia hapo. Tungo mbovu, haijaenda shule.

Ni kijana, ndio, lakini mlughalugha, Kiswahili hujui, na unavyoandika havijaenda shule. Ni bora niwe babu mzee jinsi nilivyo kuliko mporipori ambae hata kuandika hajui.
 


babu samahani kwa swahili yangu,wengine atujabahatika kusoma nchini tanzania kama wewe,hivo swahili yetu ni ya kuunga unga najua ongea lakin kuandika nimejitaid sana
 
Mkuu I can understand uzalendo wako lakini sikubaliani na wewe. Unawajua wanyarwanda na warundi wewe? Anyway kwa sababu umesema sub sahara I will spare Ethiopia na Djibouti coz hao tena acha tu....Mademu wetu wapo wazuri lakini nchi za jirani zetu kuna watoto wanatisha tusiwe vipofu!!
 
Nyinyiiii! Njoono kwa madiba muone, dem ninae gonga mm muhuni bongo ata fisadi atongoi chenzea masena, maxangano, mazulu cjagusa watoto chotara bondeni noma ila tatizo ukimwa2...bomqqqqq

nakubaliana na wewe. south ni funga job
 

AFRICA'S MOST BEAUTIFUL LADIES
1. Rwanda
2. Ethiopia
3. Somalia
4. South Africa
5. Burundi
6. Botswana
7. Uganda
8. some parts of Tanzania
9. some parts of Kenya
10. Tunisia
 
Tatizo la madem wa kenya nywele zinaanzia katikati ya kichwa (komwe)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kama ulikuwa mukichwa mwangu hasa totoz za Kikuyu zina makome utafikiri ni maforward waliofundishwa mahususi kupiga mpira wa kona kwa vichwa
 
Laini km una........na......ya forma gold
 
lkn kwa taarifa yako katika nchi zenye mabinti viwango kenya haimo na hata hao wenye vichupi vyeusi ni wasauz so usijidanganye
 
Hamna jipya hapo mkuu,wakawaida tu hao
 
we bro east afrka nzima bongo ina watoto 4 real watanzania wanajua kuzaa queens, hebu njoo arusha bwana dah huwa nawaza ina maana arusha haina uswaz kutoa watoto wabaya?

Ahahahahahaaaa....Arusha wazuri wa sura ila nyuma flat screen??!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…