LGE2024 Watoto wa shule wamekutwa wakiandikishwa katika daftari la Uchaguzi Serikali za Mitaa Luguruni-Kibamba kinyume cha sheria

LGE2024 Watoto wa shule wamekutwa wakiandikishwa katika daftari la Uchaguzi Serikali za Mitaa Luguruni-Kibamba kinyume cha sheria

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
16,908
Reaction score
19,123
Wanazingua hawa, hii ilitokea jana na kuripotiwa kupitia ukurasa wa Boniface Jacob (Boniyai).
---
Ustaarabu siyo tabia ya CCM

Hawa ni Watoto wa shule Wamekutwa wanaandikishwa katika daftari kinyume cha sheria, kituo cha EMET mtaa wa Luguruni, kata ya Kwembe Jimbo la Kibamba leo tarehe 11/10/2024.

Hii ni dalili ya hujuma katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na chanzo cha vurugu.

Screenshot_20241012-112427_1.jpg


Pia soma:
LGE2024 - Video: Waandikishaji wapiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa waanza kuandikisha kabla ya muda wala uwepo wa mawakala
 
Back
Top Bottom