Watoto wa Slaa ndani ya bunge

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,587
Reaction score
573
Naibu spika wa bunge baada kipindi cha maswali na majibu ametambua uwepo wa watoto wa Dk. Wilbroad slaa aliozaa na mke wake wa zamani Mbunge viti maalumu Mh.Rose kamili kupitia CHADEMA
 
Ni wageni wa Rose Kamili...Kwani kuna Ubaya?au ndo mwendelezo wa zile sarakasi?
 
Ndio hicho tu anachojua, ushabiki wa kisiasa!
 
Umetuambia tufanyeje sasa au ni umbea tu.
 
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
 

Sasa mkuu wewe Jamii forums imekupa heshima ya kushiriki katika mdahalo watu wanategemea mawazo ya kujenga kutoka kwako tunapoelekea siku ya mdahalo lakini bado unaendekeza tabia zako za kidini. nadahani JF wafikirie upya kukupatia nafasi hii kwa sababu hufai kwenye jamii ya watu wastarabu.
 
Mimi najiuliza Ikulu watatumia kiasi gani kugharamia futari musimu huu wa mwezi mtukufu, kwa sababu nyomi la pale huwa sio la kawaida??
 

Mkuu wa MGAMBA anao watoto wangapi "wa Ndani" na wangapi wa "Nje?"
 
Huo ndio umbea, kama ni kuzaa nje ya ndoa ni yeye, sisi tunautambua uwezo wake hata wewe mwenyewe unaongoza kw akuzaa nje ya taratibu za ndoa,
 

Huwa nikisoma coments zako huwa najaribu kuimagne what kind of man ur...napata tabu kuelewa how do u live with other ppl cuz huwa naona crisis ktk kila utendalo. May God have mercy on u cuz u do thngs out of ur skin! Ur so pathetic,rigid and ignorant! Huwa unanichefuaaa!
 
Mpaka sasa zijaelewa mantiki ya hii thread, umeleta ili tusifie uzinzi wa slaa au?
 

Kwani wale nane wote ni wa Salma? Ridhiwani kazaliwa na Salma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…