Watoto wa vigogo CCM wapenya ubunge EALA

Vp watoto wa vibopa ruksa kujoin

Ova
Hao watabakia huko huko kwenye vyama vyao vya kikoo. Natamani hiyo TNP iundwe na wale Watanzania wazalendo pekee!

Yaani wale ambao wataitanguliza Tanzania kwanza, halafu maslahi yao binafsi yafuatie baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…