Watoto wa vigogo waliofeli kidato cha 4 mwaka huu wamepona kwa kejeli

Ptz

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
541
Reaction score
385
Mwaka jana baada ya matokeo ya 2011 ya kidato cha nne kutokamitandao ya kijamii na vyombo vya habari vilijawa na kejeli kwa binti wa mkuuwa kaya Mwanaasha, binti wa Magufuri na wengineo simply tu kwa kuwa matokeoyalionesha majina ya watahiniwa, , kwa hisia zangu yawezekana necta walipigwa kamkwara kuwa next time watumienamba za watahiniwa, ukweli ni kuwa kwa kipindi hiki pamoja na kuwa matokeo ni mabaya sana kwa wote lakini kama nectarwangetoa majina vigogo wangeumbuka tena. Yuko jamaa yangu wa karibu kanambiakuna kigogo mmoja mwandamizi wa sirikali yetu ana watoto wake wawili walambadiv zero.
 
Ni Tanzania pekee ambapo shirika la umma kama TANESCO wanaambiwa wakate umeme kwenye eneo unapofanyika mkutano wa cdm, teeeeh!
 
Ni Tanzania pekee ambapo shirika la umma kama TANESCO wanaambiwa wakate umeme kwenye eneo unapofanyika mkutano wa cdm, teeeeh!
 
Mwanaasha sahv yuko england,nimetonywa.
 
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake. Watoto wa vigogo watalamba div zero lakini wataishia kufanya kazi BoT, TRA etc etc, watoto wa walala hoi watapata div one lakini wamepigana sana wataishia kuwa walimu wa vyuo.
 
enzi za baba wa taifa mambo ya matabaka eti huyu mtoto wa kiongozi kuwa tofauti na watoto wa wengine haikuwepo.mfano,kuliibuka tabia/kasumba za viongozi kutaka sifa za kuandikwa majina yao kila shule ya kata inayofunguliwa ktk eneo ambalo yy ndiye msimamizi.Wakaandikwa vibaya sana kutokana na kasumba hiyo afadhali kwa tabia hiyo imepungua.
 

Unaonaje ukimtaja kwa majina,au ukitaja majina ya hao watoto wake (we dare to talk openly)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…