Watoto wa Wasira waliojiunga CHADEMA watoa ufafanuzi juu ya uhusiano wao na Waziri Wasira

Jana CUF nao walilamba dume kwa John Bayo yule diwani aliyefukuzwa na Chadema huko Arusha.
 
Last edited by a moderator:
Hawa watoti ni Bab Kubwa.CDM mmelamba dume.

I bet you, if one of those Wassira women contests the Bunda constituency come 2015 , she will beat Stephen wassira hands down!! Wanachohitaji ni ujasiri tu wa kuthubutu!!
 
Pesa, pesa hadi anakana watoto, jamani kwani watoto wa kaka yako si wako, halafu kuna mtu anaandika Steven Wasilaa
 
Hawa ni makamanda wa ukweli. Long live CHADEMA.
 
Pesa, pesa hadi anakana watoto, jamani kwani watoto wa kaka yako si wako, halafu kuna mtu anaandika Steven Wasilaa
Hoja hapa si kama watoto wa Kaka yake si wake, hoja hapa ni kwamba Baadhi ya vyombo vya habari vilitangaza na kuandika kwamba ni watoto wa Steven Wassira. Steven ana haki ya kuweka mambo sawa na wala hajawakana kama si watoto wa ukoo wao!!
 
I bet you, if one of those Wassira women contests the Bunda constituency come 2015 , she will beat Stephen wassira hands down!! Wanachohitaji ni ujasiri tu wa kuthubutu!!

100% this is TRUE.... TENA CDM MUST TAKE THIS QUICKLY INTO ACCOUNT.... If ONE between the TWO, will be appointed by CDM & RUN for Bunda ... winning by landslide is must...!!!
 
Kama ulitazama ITV siku ile ilielezwa wazi kabisa ni watoto wa ndugu yake waziri wasira,sasa sijui ilikuwaje yamekuwa mazito,labda siku hizi habari ni chache.
 
Lilian & Esther Wassira, mmetoa maelezo ambayo hayahitaji hata tone la nyongeza ili mtu awaelewe! Mmewapa vidonge vyao, wakimeza, wakitema ni shauri yao!
 
Hoja hapa si kama watoto wa Kaka yake si wake, hoja hapa ni kwamba Baadhi ya vyombo vya habari vilitangaza na kuandika kwamba ni watoto wa Steven Wassira. Steven ana haki ya kuweka mambo sawa na wala hajawakana kama si watoto wa ukoo wao!!
Hata wangesema ni watoto wa steven \wasira ilikuwa hakuna sababu ya msingi kujibu
 
Nimewapenda sana hawa watoto.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kama umri wao unaruhusu kugombea ningeshauri mmoja wao agombee jimbo la steven wasira' yule mzee anatakiwa kupotea katika ulimwengu wa siasa

Wow! What an ambition
 
"Kwa vile kuchukua dola ilikuwa ndio ndoto ya baba yetu mzazi Mwanzilishi wa CHADEMA, sisi kama watoto tumejiunga na M4C ya CHADEMA ili tuweze kutimiza ndoto ya baba yetu kuwa CHADEMA siku moja ichukue jukumu la kuiongoza Tanzania". Nimeipenda sana hii.

Hii taarifa inafuta kabisa uchafu aliiongea Wasira kuhusu Dr Slaa kuwaita wake za watu chumbani
 
Safi sana kwa kutoa ufafanuzi ili watu wasioelewa waweze kuelewa vizuri.
Ni kweli mkuu hao mabinti wamefanya safi sana kuliweka sawa japo pia nadhani ni vijembe kwa baba yao kubwa aliyewakana.
 
Kumbe sio watoto wa Wasira bana.

Ni watoto walio jitambua na nadhani wako above 18.
Wasira Awapate wapi watoto shupavu kama hawa?
Nawapongeza sna kwa kumkana huyu mzee maana anatafuta umaarufu.lol!
 
Kuna tatizo kwa yeye kujibu? Sababu ya msingi ni ipi?
Ingekuwa ni wewe ungeenda kulumbana na wanao vyombo vya habari? Angekaa kimpya habari hii ingeshakuwa historia sasa imezidi kuwajenga chadema na hao watoto pia
 
Huyo Baba yenu Mdogo anajiona yeye jina Hilo la Wasira analimiliki Yeye!! Kwani Maisha yenu Yanamtegemea Sana? Kama sio Hivyo Mpuuzeni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…