Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Kweli umeamua kufanya utafiti
Nimetoka Masasi Mtwara jana, leo nipo Mkuranga mkoa wa pwani. Kisa cha kushangaza, familia ya wenyeji wangu watoto wao awafanani, wapo 5. Moja mrefu, wawili wafupi, wawili wa Wastani, rangi zao wengine azipo kwa baba wala mama. Katika kudadisi kwa utafiti, nikajulishwa kuwa watoto wa waazaramo awafanani. Chanzo cha matatizo hayo ni ngoma za mila na desturi. Leo Mr Msandawe nipo njiani naelekea arusha. Kama nitalala Tanga nitawajuza majabu ya Tanga Kesho. Siku njema wana JF
Kumbe kuna wengine wanafanana Mr. Msandawe!!!
Tunasubiri wa TANGA!!! Safari njema.
Mie kwetu Rukwa sijui utakwenda lini??? Na ukija usisahau kunitumia PM nikuonyeshe pakuanzia
Nimetoka Masasi Mtwara jana, leo nipo Mkuranga mkoa wa pwani. Kisa cha kushangaza, familia ya wenyeji wangu watoto wao awafanani, wapo 5. Moja mrefu, wawili wafupi, wawili wa Wastani, rangi zao wengine azipo kwa baba wala mama. Katika kudadisi kwa utafiti, nikajulishwa kuwa watoto wa waazaramo awafanani. Chanzo cha matatizo hayo ni ngoma za mila na desturi. Leo Mr Msandawe nipo njiani naelekea arusha. Kama nitalala Tanga nitawajuza maajabu ya Tanga Kesho. Siku njema wana JF
Tuache hii tabia ya kabila moja kujiona bora kuliko jengine.
Kama Wazaramo wanafanya harusi za ngoma na kuzaa watoto tele, si tuwaachie wenyewe. Why do we have to care?
Mimi kwetu kwa mtoro pale njia panda ya kwenda singida na kondoa vipi watu wa Kwamtoro au hujawahi kufika? au pengine umeshawahi ila hujawafanyia utafiti?
Kwa nani! Kwa salumu au kwa mzee fokoro
Kwa kina Jamal Nassor[/QUOTE]
Okay! Jamali mbele ya nyumba ya Salum. Alikuwa na duka pale. Sasa hivi natumai kahamia Singida
@ Gaijin sidhani ni isuue ya ukabila hapa, ni faithfulness kwenye ndoa ndio mleta mada anasisitiza hapa. ukiangalia kwa mapana kuna issue za magonjwa ambukizi na morals pia.
@ Gaijin sidhani ni isuue ya ukabila hapa, ni faithfulness kwenye ndoa ndio mleta mada anasisitiza hapa. ukiangalia kwa mapana kuna issue za magonjwa ambukizi na morals pia.
Kwa kina Jamal Nassor[/QUOTE]
Okay! Jamali mbele ya nyumba ya Salum. Alikuwa na duka pale. Sasa hivi natumai kahamia Singida
Alioa Singida ila kwasasa anaishi dar..... kwakuwa umekiri unapajua Kwamtoro tupe utafiti wa watu wa kwamtoro.