Wabongo kwa kujidai wamo....
Mmbongo nisiye na makuu
Haaaa poa mbongo usie na makuu...Aaaah mbwembwe tu mtoto mzuri
Poa mtoto mzuri,me jicho lako tu jinsi lilivyo nusu mlingoti mie hoi.
Bossman kumbe unasomaga NY Post?
Ila hao watoto naona hawajielewi kama vile ambavyo wazazi wao wasivyojielewa.
Uhusiano wa Will na Jada uko kidizaini dizaini....kwa hiyo mi naona kuwalaumu au kuwakosoa hao watoto si kuwatendea haki.
Huenda wamerithi hivyo vi sifa bainishi kutoka kwa wazazi wao.
Muda wenyewe mbaya huu hahaaaa
Kuna watu wamekaa nyumbani na laptop na viblog vyao na wao wanajiita "journalists" kazi yao ni kuandika trash ili wapate wasomaji weeengi na ndio maisha yao yanaenda. Mbona hao watoto wako poa tu tofauti na wengine waliozaliwa huko Holliwood.
Nimechungulia nje nimeona gizaMida ina nini hii?????