Watoto wachanga na maji ya kunywa

Watoto wachanga na maji ya kunywa

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,266
Reaction score
1,264
Ni sahihi kumpa mtoto maji ya kunywa after 3 months kama washaurivyo manurse
 
nurse yupi au wa kituo gani alikushauri kumpa maji mtoto baada ya miezi mitatu?
 
Ndiyo ni sahihi mkuu ila kiduchukiduchu kwani kwa kawaida miezi 6 ya mwanzo ingefaa anywe maziwa ya mama pekee.
 
...marufuku kumpa maji mtoto chini ya miezi sita.maziwa ya mama yanakilakitu. Endapo hutaweza kunyonyesha kwa miezi sita bila kula chakula kingine hapo unaweza kumnywesha...
 
One size does not fit all...Mjaribu mtoto (yule wa zaidi ya miezi mitatu), akinywa na akionekana anafurahia, endelea kumpa kidogo kidogo. Ila ni bora kumpatia maji safi, hasa yale yaliyochemshwa na kupoa vizuri. Ila kwa mtoto anayekunywa vyema maziwa ya mama, haitaji maji aghalabu kwa miezi sita ya mwanzo. Nimeongelea hii kama baba..na si mtaalamu wa afya....
 
mtoto wa chini ya miezi 6 hapaswi kupewa maji wala chakula chochote zaidi ya maziwa ya mama tu.
 
Back
Top Bottom