One size does not fit all...Mjaribu mtoto (yule wa zaidi ya miezi mitatu), akinywa na akionekana anafurahia, endelea kumpa kidogo kidogo. Ila ni bora kumpatia maji safi, hasa yale yaliyochemshwa na kupoa vizuri. Ila kwa mtoto anayekunywa vyema maziwa ya mama, haitaji maji aghalabu kwa miezi sita ya mwanzo. Nimeongelea hii kama baba..na si mtaalamu wa afya....