Atutaki malalamiko ya kuwa wananunua mechi au ni wachawi au enbeaten ya mchongo mnashindwa kucheza mechi zenu vizuri wenzio wakifanya vizuri mnakimbilia kulalamika
Sawa wakimataifa tukutane next season Maana mshindi sasa hivi anajulikana
Sisi ndo wala mihogo ukivimba pasuka