malimingiii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 967
- 1,335
Hellow wanaJF!
Natumaini mmeamka salama na mnaendelea na majukumu kama kawaida.
Ni muda sasa nimekua nikifuatilia hili bila kufahamu, naomba mwenye kujua anijuze. Watoto wadogo kila wanapotaka kulala huwa wanasumbua sana, wanaweza kulia mpaka ukahisi anatatizo kumbe ni usingizi.
Swali linakuja, kwa nn hawawezi kulala bila kuleta usumbufu. Kuna mahusiano gani kati ya ile hali ya usingizi na kulia lia au kuhangaika kunakotokea?