WATOTO WAKALI

Fasir

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
222
Reaction score
270
Kama ww mkoani hii haikuhusu kabisa tena kaa mbali sana.

Jamani muliosoma zile shule za serikali zilizokua noma wakati huo hapa Dar kuanzia Forodhani,Azania,Jangwani,Kibasila na Zanaki....tukumbushane watoto wa kikr wakali waliotikisa shuleni..

Pale Forodhani Sec School kulikua na watoto hawa hatari kabisa..

1.Munira ama Munny - Huyu ndie aliengiza vocals kwenye nyimbo ya zali la mentali yaani huyu mtoto alikua balaa she was very cute alikua na chura ya maana shombe shombe flani

2. Mgole

3. Farhat Seif

4. Tuma

Daah sijui wako wapi hawa watoto...miss those dem days
 
Kijana unazijua sheria za JF, :??
 
Tanzania ya Viwanda au Tanzania ya Villaza?
 
Akili haina spare kwa akili yako wa mikowani hawawezi soma hizo shule watu wanaende USA Kama lemutuz washindwe kuja hapo tu simbilisi wewe
 
Azania masela watupu hivyo vibinti vikali labda wakaazime Jangwani [emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…