Watoto wanajua siku hizi kuweni waangalifu.

Watoto wanajua siku hizi kuweni waangalifu.

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2006
Posts
3,019
Reaction score
579
Nimeipata kutoka rafiki yangu. Kuna cha kujifunza hapo unapokuwa na watoto usijisahau sana kama vile uko honey moon. Watoto hawadanganyiki!
download
 
Anajaribu kueleza kuwa kama wewe una mpenzi/mume/mke usijisahau kujinafasi na huyo mpenzi/mkeo/mumeo wako mbele ya watoto mpaka ukapitiliza!

Namuunga mkono!
 
Anajaribu kueleza kuwa kama wewe una mpenzi/mume/mke usijisahau kujinafasi na huyo mpenzi/mkeo/mumeo wako mbele ya watoto mpaka ukapitiliza!

Namuunga mkono!

Asante sana Masikini Jeuri. Unajua kuna watu hawataki kabisa kusoma mambo kwa kufikiri kiasi kwamba ndio maana akijaribu kujibu anaandika mambo tofauti kabisa na kupotosha mada. Ujumbe uko wazi kabisa na mwenye kutaka kuelewa hahitaji kupewa tuition. Uswahilini ukipanga chumba kimoja na mkeo ukagawa katikati kwa khanga au kitenge kuwatenganisha ninyi na watoto, utakuwa unajidanganya kusubiri watoto wako kimya mkaanza kuruka majoka kidhani wamelala. Wakati mwingine watoto hujifanya wamelala ili waone filamu live ya bure mnayoicheza upande wa pili wa khanga hiyo. Kama mtu hataki kuelewa na kujifunza kitu asubiri zamu yake mwenyewe. Labda kama mwenzetu hajambojambo anaishi kwenye kibanda chake mwenyewe kisicho maswali kama hayo.
 
Nakumbuka kuona documentary moja hivi about children's psychology, wanashauri kumheshimu mtoto wa 1+ years old kama mtu mzima. I think ni makosa kuoga, kuvaa nguo au anything private/intimate na watoto 1 year old and above wakiangalia. Nafikiri ni tatizo tulilonalo sasa, watoto wetu hawajui hata UCHI ni nini tena. Maungo wazi, si wanawake si wanaume. Potty ya mtoto ianwekwa sebuleni, mtoto hakatazwi kujisaidia mbele za watu. Toka utotoni akifundishwa chupi ni private, utakuwa umemponya na mengi!
Mara nyingi wanawake ndo wanatupiwa mawe kwa kuacha matiti na mapaja nje nje. but I also get pissed off by guys showing off their chests. mtu anavaa vest tu kisa yoko garini!jamani, some ladies are curious cats, we love imagining what is hidden inside the cloths! Mfundishe mwanao kuuthamini mwili wake na hatauruhusu uchezewe au kufanyika maonesho!
Thanks buddy, totally agree with you!
 
Anajaribu kueleza kuwa kama wewe una mpenzi/mume/mke usijisahau kujinafasi na huyo mpenzi/mkeo/mumeo wako mbele ya watoto mpaka ukapitiliza!

Namuunga mkono!

Yeah! Very true...
Hata hizi filamu zetu jamani... Tuwe makini sana, watoto wadogo wana "curious minds" sana...
 
Yeah! Very true...
Hata hizi filamu zetu jamani... Tuwe makini sana, watoto wadogo wana "curious minds" sana...

You can BET ; nishawahi kumfuma jr ana smile alipoona tongue kissing kwenye movie nikapiga marufuku! Shida ni hapo tunapowaacha na wasaidizi huko nyumbani!
 
You can BET ; nishawahi kumfuma jr ana smile alipoona tongue kissing kwenye movie nikapiga marufuku! Shida ni hapo tunapowaacha na wasaidizi huko nyumbani!

n ahao wasaidizi jamani wanawaharibia sana watoto

rafiki yangu juzi kanipigia simu he is confused, kamfuma housegal anamfanyisha Jr. wake ngono, Jr mwenyewe ana miaka 6............aaah jamani mie staki kusikia wasaidizi mnyalu!!!!
 
Back
Top Bottom