Nakumbuka kuona documentary moja hivi about children's psychology, wanashauri kumheshimu mtoto wa 1+ years old kama mtu mzima. I think ni makosa kuoga, kuvaa nguo au anything private/intimate na watoto 1 year old and above wakiangalia. Nafikiri ni tatizo tulilonalo sasa, watoto wetu hawajui hata UCHI ni nini tena. Maungo wazi, si wanawake si wanaume. Potty ya mtoto ianwekwa sebuleni, mtoto hakatazwi kujisaidia mbele za watu. Toka utotoni akifundishwa chupi ni private, utakuwa umemponya na mengi!
Mara nyingi wanawake ndo wanatupiwa mawe kwa kuacha matiti na mapaja nje nje. but I also get pissed off by guys showing off their chests. mtu anavaa vest tu kisa yoko garini!jamani, some ladies are curious cats, we love imagining what is hidden inside the cloths! Mfundishe mwanao kuuthamini mwili wake na hatauruhusu uchezewe au kufanyika maonesho!
Thanks buddy, totally agree with you!