Watoto wangu wote hufariki baada ya kuzaliwa au mimba kuharibika

Ndugu. Umefanyiwa uchawi wa kuua kizazi chako! Sijajua uko wapi ningekusaidia kimawazo! Usiende Kwa Hawa wapuuzi waganga wa kienyeji! Mimi nimepoteza watoto watu hivyo hivyo! Njoo pm tuongee! Huo ni uchawi unaweza ukapoteza hata 15!
 
Jini linakula watoto, tafuta mtaaalamu, kuna jamaa yangu nae mimba za mke wake zilikua zinatoka Sana, baada ya kupata mtaaalamu mambo yakakaa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…