Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Hata sisi tunaye mtoto wa kitanzania anayetengeneza application za simu na kuwauzia Nokia!
19 Mei 2017
Wanafunzi wenye umri kati ya miaka 7-16 kutoka shule mbalimbali jijini Nairobi wamekuwa wakipokea masomo spesheli ya kiteknolojia, ya kuunda programu tumishi.
Kijana wa miaka 11 aliyepokea mafunzo katika shule hiyo ya Appframe Coding Academy ameweza kubuni programu tumishi (App) ya mapishi ambayo inapatikana mitandaoni, huku wengine wakiendelea kutengeneza App tofauti kama vile za michezo, wanyama na mbio za magari.
Mwandishi wa BBC Paula Odek
Watoto wataalamu wa kuunda App nchini Kenya - BBC Swahili
Wow, what was I doing at 15? Awesome.Hata sisi tunaye mtoto wa kitanzania anayetengeneza application za simu na kuwauzia Nokia!
Kutana na Mtoto wa kitanzania anayetengeneza Application za simu na kuwauzi Nokia. - NYUMBA YA HABARI
Hii ni fursa nzuri kwa watoto wetu!
Ha ha haaaa!Wow, what was I doing at 15? Awesome.
Haha you're still teaching yourself to cross the road safely. [emoji23] [emoji23]Wow, what was I doing at 15? Awesome.
Different tymz kaka, we are in dot com era, when u were 15 t ws sumthing else man...Wow, what was I doing at 15? Awesome.