Watoto watatu wafariki Kanisani Simiyu baada ya kulala kwenye hema lenye jiko la mkaa

Habari ya kitambo hii sio ya leo
 
Hii ni hatari
 
Kipi hupelekea wengine wafe na wengine wasife?

Au kuna kasa wenye sumu na wsio na sumu kama uyoga na mihogo!!
Baharini kuna majani yenye sumu ambayo kasa akila nawewe ukamvua ukaenda kumla ndipo hudhuru
 
Hata iwe ya miaka ya uhuru wa tanganyika, mradi ni tukio halisi tunalaani uzembe huo
🤩 Hakika mkuu tuko pamoja. Ingekuwa tikio la kubuni sawa, ila kwakuwa ni tukio halisi basi lazima likemewe
 
Hata iwe ya miaka ya uhuru wa tanganyika, mradi ni tukio halisi tunalaani uzembe huo
Na pia,wengine wachukiuwe tahadhari,kwa kuweka jiko la mkaa chumbani,huku umefunga milango,na madirisha,kwa kuota moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…