Watoto wengine hafanani nao kabisa

Watoto wengine hafanani nao kabisa

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Wana JF kuna jambo ambalo linamtatiza jamaa yangu ambalo amekuwa akifikiri kwa muda mrefu bila ya kupata ufumbuzi, yeye amejaliwa kuwa na mke na watoto watano, lakini kati ya hao watoto watatu ni "true copy" ya sura, tabia, rangi na hata kutembea yao, lakini wale wawili hawafanani na wenzao hawako kwa mkewe wala kwake katika kufanana anaomba ushauri wenu inawezekana amefanyiwa uchakachuaji au ni hali halisi?
 
Wengine huwa wanafanana sehemu za siri............
Mwambie awachunguze...........
 
Kwa nini usiseme wewe ndio unauliza!? kwa nini mnapenda kusingizia eti jamaa!!
 
DNA test inahitaji a piece of hair or swab sample, achukue na kufanya test. haitaji hata kumwambia mkewe au watoto, its simple
 
Duh! Jamaa biolojia alipataga F ya ngapi? Manake kuna F ya 20% na ya 2% kwa kupatia kuandika namba ya mtihani.
 
Kwa nini usiseme wewe ndio unauliza!? kwa nini mnapenda kusingizia eti jamaa!!

Nadhani hujaipenda hii kwa kuwa inakuhusu au kwa walio karibu nawe, bahati mbaya sina watoto zaidi ya wawili ambao wote ni "true copy of the original" na sina sababu ya kusema uongo
 
DNA test inahitaji a piece of hair or swab sample, achukue na kufanya test. haitaji hata kumwambia mkewe au watoto, its simple

ili kumsaidia tumpe gharama za D.N.A kama atazimudu
 
Nadhani hujaipenda hii kwa kuwa inakuhusu au kwa walio karibu nawe, bahati mbaya sina watoto zaidi ya wawili ambao wote ni "true copy of the original" na sina sababu ya kusema uongo
Sasa nashindwa kuelewa kwanza unasema bahati mbaya huna watoto halafu wewe huyo huyo unakengeuka na kusema una watoto wawili!! ujinga huu.
 
we unataka watoto ufanane nao kama betri za National & Panasonic ndio ujue ni wako?...
 
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaa!Watakuuliza kwani babu na bibi walikuwepo kwenye rigwaride?

Niliwahi kusoma cartoon moja inasema
Baba au Mama Mkwe: Hawa watoto mbona hawafanani na mimi au baba yao sijui sikumbuki
Mama: Mie nina sehemu ya uzazi sina mashine ya photocopy
 
Kuna DNA ya Kichagga hutumia jani la ITHALE majibu ni dakika mbili tu
mkuu hii njia huwa inaambatana na kifo so sio nzuri.

mama anawekwa kati akiwa kashikilia hiyo kitu na kuamriwa aseme ukweli, akipindisha tu, kesho yake mnaweza zika mtu.
 
Ni ngumu sana kwa mwenye watoto wawili, watatu kuchitiwa. Maana mapenzi hapo bado moto moto.

Sasa wale wa watoto nane...hapo kati mlishagombana na mwenzio alishajipatia kidumu...ndio utajua kama watoto ni wako or not.

Ila mi siamini kwenye watoto kufanana na wazazi...mfano si kwetu wote tunafanana saaana lakini hakuna anayefanana na baba wala mama...ni hybrid. Kuna weupe kuna weusi kwetu lakini hata mtu akiniona leo anasema wewe mdogo wake fulani ...tena with confidence. Tuko kama mapacha.
 
Back
Top Bottom