Watotoooooo!

hawa watatu wamefungwa nini kiuoni?
 
Wote lazima wafanye hivyo kwa wakati mmoja, na kwa mpangilio huo?
 
wamekaa kama wako kwenye mashindano

ipo raha fulani unaposhusha " mzigo" pengine hata waweza kuhisi upo dunia pweke...raha ya kushusha "mzigo"
wowote ulio mwili kupitia njia ya haja (ndogo au kubwa) ndio unaofanya hata wengine wakamatwe ugoni, inapoteza mwelekeo na fikra za kawaida...
 
From left to right.......mmkjj,painkila,invizibo,malariasugu,xpast, tehe tehe tehe....(joke)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…