Jamani wiki hii na sua tu, mimi ni muhitimu wa Sua cumpus ya muccobs, what is so special for Sua, ni kwamba chuo kina sehemu mbili sua main cumpus na muccobs so huenda hao watu walitoka muccobs kama mmoja anavyodai hapo juu, na si dhambi kumuajiri mtu kulingana na kile alichonacho na kukipata shuleni, sasa nasema hv kwani kazi zote wanatakiwa wapate watu wa udsm? Huu ni ufinyu wa mawazo, na kama msomi hutakiwi kuuliza vitu kama hv, watu wa sua+muccobs ni wazuri tu waache wafanye kazi bana hv vyuo hamna ulegelege kazi tu, kweli mwaka huu sua+muccobs wanawapa presha. Mwisho senetor wew upo udsm, soma kaz ni bahati na uwezo wa m2 binafsi kulingana kile alichokipata chuo