Watsup group nba fans..

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,329
habari wadau..

binafsi na mshabiki mkubwa wa b ball duniani... na mfatiliaji mkubwa wa nba.. college ball usa na euroleague..
my favaurite team kwa nba ni cavaliers.. I love lebron sana na sana....

kwa upande wa college ball men and women ni fan mkubwa sana wa university of connecticut toka enz za hasheem.. mpaka ya sasa hivi.. coach geno auriema dominance in women ball. also I cheer uni of arizona

kwenye euroleague naipenda sana maccab tel aviv.. thanks to dstv kunipa burudani zote hizi

kama kuna watsup group naombeni mniunge.. kama hakuna ni vizuri tulianzishe ile tushee b ball moments kwa urahisi zaidi
 
Likiwepo naomba na mimi niungwe aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…