Soma kichwa cha habari vizuri.
Huyo kijana ni mtu mbaaaaya sana.-Diamond Platnumz lazima haswaaa taka usitake.
Wewe ndo Esma Platinumz? Kaka yako anajitahidi sana.Achana na viroba
Tatizo AFRIMMA wakisema diamond ni msanii namba moja africa ni sawa ila mimi na hii list yangu mnatukana. Pendeni vya kwenu.
Tatizo AFRIMMA wakisema diamond ni msanii namba moja africa ni sawa ila mimi na hii list yangu mnatukana. Pendeni vya kwenu.
Basi mtoe shilole uweke jina lako uone jinsi gani watakosoa list hii tulivu.Mmmmh!hata mimi nahisi ni bange inakusumbua Sasa unataka tuanze sifia list yako kisa tumeikubali ya Afrimma ?wewe mweu kweli na Mirembe so soon inakuita kijana hadi shishi baby yumo ndani kweli maajabu ya chizi wewe Diranqhe
Basi mtoe shilole uweke jina lako uone jinsi gani watakosoa list hii tulivu.
Shilole ni mtu wa kujivunia kweli!? Au yupi unamzungumzia!
Kuna list naandaa ya waTZ 10 waliowahi kupata fursa kubwa na kutozichangamkia. Majina hadi sasa yenye uhakika wa kuingia ni Ali Kiba, Mrisho Ngasa, Edward Lowassa. Najiridhisha na haya mengine saba.