MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
-
- #41
Hii ni labda iwe list ya watu 10 wasioleweka TZ1.shehe ponda
2.mch gwajima
3.Lusinde Jr
4.Ndolanga
5.wema sepetu
6.Babu mwasapile wa loliondo
7.Mrema lyatonga
8.polepole
9.mwigulu
10.Nape
Usichoke bhanaNgachoka hadi Shilole
Usichoke bhana
Haya tumekusikia.Wewe utakuwa under 18 maana mambo ya kichizi chizi hiyo bangh ulovuta ni mbichi
Hawezi kosa. Huyo ndo malkia wa muziki wa TZ. Namba moja kwa sasa ni diamond halafu ndo anafuatia ShishyDuh! Hadi shishi yupo.