Watu 10 maarufu walioacha chuo na kuleta mabadiliko makubwa duniani

Mnyika alifukuzwa, wanasiasa hawana kiburi cha kuacha chuo hapa bongo.

Kufukuzwa chuo huwa ni jambo la kawaida sana tangu tangu na tangu.

mnyika aliacha chuo
kuwakomboa wana ubungo, mbatia alifukuzwa kwa kutetea maslahi ya
wanyonge, ongeza na wewe,
 
wangeacha darasa la kwanza ndo ningeshangaa, wanaonda chuo wengi huwa na akili hasahasa Harvard
 
isee Hiki chuo cha havard kiko vizuri..
 
Hao Waliachishwa Vyuo Sio Waliacha.... Si Vema Kuchepusha Lugha
 


Mkuu heading yako haiendani na wengi uliowataja hapo. Steve Jobs, Bill Gates, Mark zuckeberg labda na Frank Lloyd Wright ndio unaweza kusema walileta mabadiliko lakini hao wengine wana mafanikio lakini sidhani kama mafanikio yao yalileta mabadiliko yoyote makubwa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…