Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani

Akaunti zake zilikuwa na utajiri mkubwa kitu ambacho ilikuwa vigumu kuweza kubaini thamani ya utajiri na uwezo wake ,kulingana na Rudolph Butch profesa wa Historia katika chuo kikuu cha California .
Hivi Mkuu katika karne ya 14 kulikua na Benki?
 
Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani.

1-Mansa Musa (1280-1337, Mfalme wa Mali ambaye mali yake haiwezi kuelezewa

2-Augustus Caesar (63 BC-14 AD, Mfalme wa Roma ) $4.6tn (£3.5tn)

3-Zhao Xu (1048-1085, Mfalme wa Shenzong of Song China) mali yake haikuweza kuhesabika

4-Akbar I (1542-1605, Mfalme wa Mughal India) mali yake haikuweza kuhesabika

5-Andrew Carnegie (1835-1919, Mfanyabiashara wa viwanda wa Uskochi na Marekani ) $372bn

6-John D Rockefeller (1839-1937) Mfanyabishara wa Marekani ) $341bn

7-Nikolai Alexandrovich Romanov (1868-1918, Tsar wa Russia) $300bn

8-Mir Osman Ali Khan ( 1886-1967, Ufalme wa India ) $230bn

9-William The Conqueror (1028-1087) $229.5bn

10-Muammar Gaddafi (1942-2011, -Mtawala wa Libya) $200bn

Chanzo: Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani.

Chanzo:
 
Mi nimesoma kwenye Biblia kua Mfalme Suleman ndiye mtu tajiri kuwahi kuishi duniani na alipewa na Mungu(kwa wanaoamini kua Mungu yupo) huo utajiri na haitakaa itokee mtu kama huyo tena!
Mungu hakua na utajiri wa fedha sasa hapo Suleiman alipewa fedha gani.
 
Biblia inasema hakutakaa kutokee tajiri kama yeye...umeelewa maana yake?
Yeye hakuwa tayari wa fedha.
Alikuwa na utajiri wa mali tu.
Dunia ya sasa utajiri ni fedha yaani jumla ya mali zako wanathanisha na fedha.
Hivyo ndo maana Suleiman hatajwi hapo
 
Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani.

1-Mansa Musa (1280-1337, Mfalme wa Mali ambaye mali yake haiwezi kuelezewa

2-Augustus Caesar (63 BC-14 AD, Mfalme wa Roma ) $4.6tn (£3.5tn)

3-Zhao Xu (1048-1085, Mfalme wa Shenzong of Song China) mali yake haikuweza kuhesabika

4-Akbar I (1542-1605, Mfalme wa Mughal India) mali yake haikuweza kuhesabika

5-Andrew Carnegie (1835-1919, Mfanyabiashara wa viwanda wa Uskochi na Marekani ) $372bn

6-John D Rockefeller (1839-1937) Mfanyabishara wa Marekani ) $341bn

7-Nikolai Alexandrovich Romanov (1868-1918, Tsar wa Russia) $300bn

8-Mir Osman Ali Khan ( 1886-1967, Ufalme wa India ) $230bn

9-William The Conqueror (1028-1087) $229.5bn

10-Muammar Gaddafi (1942-2011, -Mtawala wa Libya) $200bn

Chanzo: www.emmanuelkasomi.blogspot.com
 
Utajiri wa Mansa Musa ndiyo uliwavutia wakoloni kuchukua ardhi yake na kuigawa. Ufalme wake ulienea kutoka Mali mpaka Ghana na Nigeria. Dhahabu waliyoikuta wakoloni Ghana iliwafanya waipe jina la Coast of Gold.
 
Sawa mkuu hivi karibuni itaonekana
Sijamaliza hata kusoma huo utopolo ulioandika.
Ushafika Timbuktu, Gambia,Senegal?
Kuna watoto wa kiume mabikra huko kuna mnada wanabebwa live kwenda Dubai na wamejiremba mwajuma wako ataomba poo.
Timbuktu hapo,basha anakuja wanakata viuno anachagua anaondoka nae na Ngamia.
 
1. Mansa Musa (1280-1337, Mfalme wa Mali ambaye mali yake haiwezi kuelezewa

2. Augustus Caesar (63 BC-14 AD, Mfalme wa Roma ) $4.6tn (£3.5tn)

3.Zhao Xu (1048-1085, Mfalme wa Shenzong of Song China) mali yake haikuweza kuhesabika

4. Akbar I (1542-1605, Mfalme wa Mughal India) mali yake haikuweza kuhesabika

5. Andrew Carnegie (1835-1919, Mfanyabiashara wa viwanda wa Uskochi na Marekani ) $372bn

6. John D Rockefeller (1839-1937) Mfanyabishara wa Marekani ) $341bn

7. Nikolai Alexandrovich Romanov (1868-1918, Tsar wa Russia) $300bn

8. Mir Osman Ali Khan ( 1886-1967, Ufalme wa India ) $230bn

9. William The Conqueror (1028-1087) $229.5bn

10. Muammar Gaddafi (1942-2011, -Mtawala wa Libya) $200bn

Chanzo: Money.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…