Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani

Mbona kama TUMEPIGWA[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Wapi Elon musk?
Yupo hapa yeye.
 
Kama hela zao hazijuweza kuhesabika wamewezaje kuwapanga kwa mtiririko huo wa namba?
 
mansa mussa alikuwa ni mtawala, chanzo cha utajiri wake ni kujichotea rasilimali anazotaka.

hana sifa za kuwepo kwenye list hii.
na thamani ya utajili huo inabadilishwa badilishwa.. ikitokea mimi leo ndiye tajiri mkubwa nina ukwasi wa dola Tilion laki 8 nitaambiwa Mansa alikuwa na laki 9.
 
Wa kwanza hapo ni mfalme Suleiman.....yule alitisha, aliweza ongoza mpaka majini
 
Hana issue mansa musa alikuwa bwege tu
 
Ubatili mtupu !! Mbona jina langu sijaliona mkuu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…