Watu 10 wachomwa moto hadi kufa Uganda

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Msemaji wa Jeshi Polisi Nchini Uganda Vincent Twesige amesema wanamgambo wanaohusishwa na kundi lenye itikadi kali (Islamic State) wamewachoma moto watu 10 hadi kufa katika shambulizi lililofanywa kusini magharibi mwa nchi hiyo.

Inaelezwa kuwa wanamgambo hao kutoka kundi la ADF ni miongoni mwa makundi ya wanamgambo waliouwa zaidi katika eneo lenye mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, waasi hao wamevuka mpaka na kushambulia kituo cha biashara Kamwenge.

Chanzo: The Citizen
 
Siku hizi ukitaka kuonekana msomi,staarabika ama neutral tetea uovu wowote unaofanywa na waislamu.
Uovu wowote utungie majina mazuri kama matatizo ya kisaikrojia,watu waliotengwa,hawanufaiki na Rasilimali za eneo lao sasa wanaamua kuua watu ili kuiifikishia serikali ujumbe.
The world it was at peace until 506 Satan brought Islam.
 
Dah
 
Ulivyo fake hata id umeweka bandia au ndo unaogopa waislam😂😂

Kenge ww
 
Hauna akili...
 
Mimi huwa nawashangaa sana hawa ADF nilichoelewa ni kwamba wanapigania kuondoa utawala uliopo na kuifanya Uganda kuwa Islamic State.

Uganda Waislamu ni Minority nadhani hawafiki hata 10% kama sijakosea, sasa sijawahi hata kuwasikia wakitaka kukaa mezani na utawala uliopo Uganda.

Na pia harakati zao wanafanyia zaidi Kongo DRC na wanaua raia sana huko.

Hawa ni ndio ile Definition ya Magaidi haswa hawa ni Magaidi Orijino.
 
True kabisa
 
du!! lengo lao ni nini??? au ndo wamtumwa washirika wao?
 
du!! lengo lao ni nini??? au ndo wamtumwa washirika wao?
Lengo lao linaweza kuwa kupindua serikali au kujipatia mali kupitia washirika wanaosaidiana nao kuiba mali za nchi husika
 
Afrika inaharibiwa sana na hii yote ni kukosa Elimu bora kwa Wananchi wake tumejitawala miaka nenda miaka rudi watu bado masikini wa kutupwa watakachoambiwa wafanye wao wanafanya kwa ukatili mkubwa..
Ukiangalia movie moja Tears of the Sun ndio picha halisi ya maisha ya Afrika sehemu zenye rasilimali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…