The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA limeanzisha operesheni ya kuwabaini watu wanaojihusisha na utapeli kwa njia ya mtandao na kufanikiwa kuwakamata vijana 13 wenye umri kati ya miaka 17 hadi 32 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuandika ujumbe mfupi “tuma kwenye namba hii’’ ikiwa ni pamoja na kujifanya viongozi wa freemason na waganga wa kienyeji.