Watu 13 wakamatwa wakijifanya viongozi wa Freemason na kufanya utapeli

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA limeanzisha operesheni ya kuwabaini watu wanaojihusisha na utapeli kwa njia ya mtandao na kufanikiwa kuwakamata vijana 13 wenye umri kati ya miaka 17 hadi 32 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuandika ujumbe mfupi “tuma kwenye namba hii’’ ikiwa ni pamoja na kujifanya viongozi wa freemason na waganga wa kienyeji.

Your browser is not able to display this video.
 
TTCL imeshindwa kudhibiti hao watu naona namba 80% ni za kwao
Wanashirikiana nao mkuu
.ujawahi uliza zile msg ukitumiea wamepata wapi namba zakooo

Wanaangalia MHAMALA wako WA pesa wanaambiwa huyu anatumannankutoa piten nae mumjaribu

Wale wako makini hawaji kwa bahati mbaya mpwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…