Kenyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 414
- 314
Watu 14 wamethibitishwa kuaga dunia baada ya basi la Chuo Kikuu cha Pwani kugongana na matatu(daladala) eneo la Kayole, barabara ya Nakuru - Naivasha.
Kwa mujibu wa ripoti basi hilo lilikuwa limebeba wanafunzi wapatao 30 kwenda kushiriki michezo katika kaunti ya Nakuru.
Wanahabari wangali wanasubiri taarifa kamili kutoka kwa Kamanda wa polisi, kaunti ya Nakuru.