Kenyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 414 Reaction score 314 Mar 30, 2023 #1 Watu 14 wamethibitishwa kuaga dunia baada ya basi la Chuo Kikuu cha Pwani kugongana na matatu(daladala) eneo la Kayole, barabara ya Nakuru - Naivasha. Kwa mujibu wa ripoti basi hilo lilikuwa limebeba wanafunzi wapatao 30 kwenda kushiriki michezo katika kaunti ya Nakuru. Wanahabari wangali wanasubiri taarifa kamili kutoka kwa Kamanda wa polisi, kaunti ya Nakuru.
Watu 14 wamethibitishwa kuaga dunia baada ya basi la Chuo Kikuu cha Pwani kugongana na matatu(daladala) eneo la Kayole, barabara ya Nakuru - Naivasha. Kwa mujibu wa ripoti basi hilo lilikuwa limebeba wanafunzi wapatao 30 kwenda kushiriki michezo katika kaunti ya Nakuru. Wanahabari wangali wanasubiri taarifa kamili kutoka kwa Kamanda wa polisi, kaunti ya Nakuru.
desmond dekker JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 201 Reaction score 245 Mar 30, 2023 #2 Wapumzike kwa amani waliohusika...mwanga wa milele uwaangazie huko waendako