Watu 16 zaidi wakutwa na Covid19 Kenya

Watu 16 zaidi wakutwa na Covid19 Kenya

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Wagonjwa 15 ni wakenya na mmoja ni mnaijeria. 9 kati yao ni wanaume na 7 ni wanawake wenye umri kati miaka 22 -66

Wizara ya afya imesema hadi jumapili hii, watu 1833 waliochangamana na wenye #CoronaVirus waliangaliwa kwa ukaribu na 1384 kati yao wameruhusiwa

Kwa sasa kuna watu 449 ambao wanaangaliwa kwa ukaribu kujua kama wana maambukizi au la

Wizara imesema mtu anayekufa kwa corona virus anapaswa kuzika ndani ya masaa 24 baada ya kufariki. Hadi sasa kenya ina watu wanne waliokufa kwa #Covid19
===
Sixteen more patients have tested positive for the coronavirus in Kenya, raising the total number of confirmed cases in the country to 138.

Health Chief Administrative Secretary Dr. Mercy Mwangangi, in a press briefing on Sunday, said the new cases include 15 Kenyans and one Nigerian national.

“Out of this number, nine are from the quarantine facilities while seven are from contact tracing. The 16 people have already been moved into isolation in various health facilities and contact tracing is ongoing,” said the Health Ministry CAS.

Dr. Mwangangi further noted that out of the 16 new cases, 12 had been confirmed in Nairobi, three in Mombasa and one in Kilifi.

The new cases include nine males and seven females and are all aged between 22 to 66 years.

The Health Ministry further revealed that as of Sunday, 1,833 contacts had been monitored, with 1,384 of them being discharged.

“Currently there are 449 contacts that we are actively tracing,” said Dr. Mwangangi.

She further announced that persons who pass away due to the coronavirus will have to be buried within 24 hours from the time of death, with the burials being restricted to less than 15 family members.

So far, four patients have succumbed to coronavirus in Kenya.
 
Hiyo ni baada ya kupima sampuli 532, hongera sana wizara ya afya mnajituma kwa kweli, endeleeni kupima ila Wakenya tuchukue tahadhari, imebashiriwa kufika mwisho wa mwezi huu tunaweza kuchezea kwenye 10,000
 
Mwenyezi mungu awajaalie mfike kabla ya mwezibkuisha Kama ndo mmebashiriwa hivyo
Hiyo ni baada ya kupima sampuli 532, hongera sana wizara ya afya mnajituma kwa kweli, endeleeni kupima ila Wakenya tuchukue tahadhari, imebashiriwa kufika mwisho wa mwezi huu tunaweza kuchezea kwenye 10,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom