Watu 17 wanadhaniwa kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya nyani (MPOX) mkoani Mara

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Watu 17 wanadhaniwa kuwa maambukizi ya ugonjwa wa homa ya nyani (MPOX) mkoani mara, Akizungumzia suala hilo Mganga Mkuu wa Mkoa Zabron Masatu, amesema tayari watu hao wako katika vituo vya afya kwa uangalizi pamoja na sampuli zao kuchukuliwa na kupelekwa kwa Mkemia Mkuu kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Masatu ametoa wito pia kwa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa huo na kuwahi katika vituo vya AFya kwa matibabu zaidi.

Ameingeza kuwa mpaka sasa ni takribani halmashauri Tano zimebainika kuwa na wahisi hao wa homa ya nyani.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwamba tayari CHADEMA wameshanunua hivyo virus vya mpox??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…