Watu 18 wafariki na wengine 6 kujeruhiwa wakiwa katika jaribio la kuvamia makazi ya Rais wa Chad

Watu 18 wafariki na wengine 6 kujeruhiwa wakiwa katika jaribio la kuvamia makazi ya Rais wa Chad

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Takriban watu 18 wamefariki dunia katika majibizano ya risasi kati ya kikosi cha walinzi wa Rais wa Chad na kundi la watu waliokuwa wamejihami kwa silaha za moto.

Kundi la watu hao (bado halijatambulika) walikuwa wakirusha risasi kuelekea yalipo makazi ya Rais, Idriss Deby, jijini N’Djamena nchini humo.

Tovuti ya Aljazeera imeripoti kuwa watu 18 kati ya 24 waliokuwa na silaha wakati wa majibizano hayo ya risasi waliuawa kwa kupigwa risasi na walinzi wa Rais Deby katika tukio hilo lililotokea jioni ya Jumatano Januari 9, 2025.

Tukio hilo lilitokea, wakati ambao Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi alikuwa nchini humo kwa ziara ya kikazi.

chad palac.png

============================================================


Gunmen launched an attack on the presidential complex in Chad's capital N'Djamena on Wednesday, January 8, 2024, sparking a battle that left 18 attackers and one security personnel member dead and several others injured, the government said.

Reporters heard gunfire erupt near the site in N'Djamena, with tanks seen on the street, while security sources reported that armed men had tried to storm the complex.

The government later said 19 people were killed in the fighting, of which 18 were members of the 24-strong group that launched the assault.

"There were 18 dead and six injured" among the attackers "and we suffered one death and three injured, one of them seriously", declared government spokesman and Foreign Minister Abderaman Koulamallah. Hours after the shooting, Koulamallah appeared in a video on Facebook, surrounded by soldiers, saying that "the situation is completely under control... the destabilization attempt was put down."


Chad, a landlocked country in Africa's northern half, is under military rule and regularly attacked by the jihadist Boko Haram group in the Lake Chad region.


Several security sources said that an armed commando opened fire inside the presidency on Wednesday evening around 7:45 pm (1845 GMT), before being overpowered by the presidential guard. All roads leading to the presidency were blocked and tanks could be seen on the streets, according to reporters at the scene.
 
Huyo Rais akapinduliwa muda sio mrefu. Kuna watu hawajafurahia jinsi alivyoridhi madaraka.
 
Hapa lazima itasemwa ni Ufaransa, ni juzi tu huyu Rais alikuwa anarushiana maneno na Rais wa Ufaransa, Macron!
 
Macron akiamua kuinjinia mauaji ya huyo deby ni sekunde tu anauliwa kama kuku.
 
Ufaransa kamwe hawezi kukubali kufukuzwa Africa atawanunua watu wenu hapo hapo na atawapa silaha na atafanya spy kuwasaidia wampindue Rais aliyepo ili wamuweke Rais anayekubaliana na matakwa yao.

Hapo wanasponsor vikundi na kuwapa majina ya ajabu ajabu. Lakini wanaokufa sio wafaransa ni hao hao wajinga wanaonuniliwa
 
Mfaransa hayupo teyari kuona anapoteza makoloni yake Africa, anatumia njia yoyote kuhakikisha apotezi makoloni yake , yeye ana deal na vibaraka tu, anawapa pesa ndefu wanafanya mauaji.. Sasa hivi mfaransa anaumizwa kichwa na yule bwana mdogo wa Bokenafaso , captain Ibrahim..

Mfaransa akipoteza makoloni yake Africa, sasa itawafanya wafaransa ndio waje afrika kufanya kazi.. Uchumi mkubwa wa mfaransa unatoka Africa
 
Back
Top Bottom