Watu 3 wafariki kwa kupigwa risasi kwenye maandamano ya kupinga uamuzi wa mahakama kuhalalisha ushindi wa Kenyatta

Watu 3 wafariki kwa kupigwa risasi kwenye maandamano ya kupinga uamuzi wa mahakama kuhalalisha ushindi wa Kenyatta

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Watu watatu akiwepo mwanamke mzee wamefariki kwa kupigwa risasi kwenye maandamano yaliyotokea baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Uhuru Kenyatta ni halali


Watu wawili kati ya hao waliuawa Kibera na mmoja Migori, na polisi ndio wanatuhumiwa kuwafyatulia risasi

Mwanamke kutoka kibera alifariki kutokana na majeraha alipopelekwa kwenye Hospitali ya St. Mary's

Kibera-demos-after-Supreme-Court-ruling.jpg

===========================================

Three people, among them an elderly woman, were shot dead on Monday during demonstrations that erupted following the Supreme Court’s decision to uphold President Uhuru Kenyatta’s October 26 repeat poll win.


All three, two in Kibera, Nairobi and one in Migori were allegedly shot dead by anti-riot police who were called in to rein in on the chaos.

The elderly woman from Kibera succumbed to bullet injuries at around 2pm on arrival at St. Mary’s Hospital.

“The woman was doing her business as usual and she was struck by stray bullet in the abdomen. Instead of alerting neighbours, she went into her house and by the time she was rushed to hospital, it was too late to save her,” said one of the residents of Katwekera area.


The Supreme Court ruled that the two petitions seeking the annulment of the October 26 election had no merit.


“The court has unanimously determined that the petitions are not merited. As a consequence, the presidential election of 26 October is hereby upheld as is the election of the third respondent (Kenyatta),” said Chief Justice David Maraga.

Source: Citizen Tv
 
Hao mnaowapigania hata wakishinda hujilia wao na familia zao tulieni ndugu zangu mujenge taifa lenu
 
Huyo ajuza nae aliyafuata nini hayo maandamano Raila Odinga Hana malengo mazuri Na wakenya yeye angejituliza Tu nyumbani alee wajukuu..
 
Back
Top Bottom