Watu 34 wapotelea baharini wakivuka kwenda Ulaya

Watu 34 wapotelea baharini wakivuka kwenda Ulaya

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
1679842804016.png

Waliopotea ni wahamiaji kutoka Afrika ikidaiwa boti yao iliyokuwa ikitokea Tunisia kuzama baharini ikiwa ni ajali ya tano ya boti ndani ya siku mbili, watu saba wakithibitika kupoteza maisha na wengine 67 hawajulikani walipo.

Mamlaka zinaamini boti hiyo ilikuwa inaelekea Italia, wakati huohuo Walinzi wa Pwani ya Tunisia wameripotiwa kuzuia boti 56 kuondoka nchini humo kuelekea Italia ndani ya siku mbili zilizopita.

Pia imeelezwa kuwa zaidi ya wahamiaji 3,000 wamezuiliwa wakijaribu kuondoka nchini humo.

Tunisia imetajwa kuwa njia kuu ya wahamiaji kukimbilia Italia, takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) zinaonesha wahamiaji 12,000 waliongia Italia Mwaka 2023 walitokea Tunisia, takwimu za mwaka jana muda kama huo ilikuwa ni wahamiaji 1,300.

=====================

Europe migrant crisis: Dozens missing off Tunisian coast

At least 34 migrants from sub-Saharan Africa - including children and babies - are missing off the Tunisian coast after their boat capsized.

It is the fifth migrant boat to sink in two days, with seven people confirmed dead so far, and 67 still missing.

Authorities believe the boat was heading for Italy.

The Tunisian coast guard has reportedly stopped 56 boats from leaving the country, bound for Italy, in the past two days.

Houssem Jebabli from the Tunisian National Guard said that more than 3,000 migrants had been detained attempting to leave the country.

Tunisia has become a launch pad for migrants to leave, bound for Europe. United Nations data shows that at least 12,000 migrants who arrived in Italy this year left from Tunisia, compared to 1,300 in the same time period last year.

Last month, Tunisian President Kais Saied accused sub-Saharan African migrants living in the country of causing a crime wave and described them as a demographic threat.

His comments were widely criticised by the African Union and denounced as "racist hate speech" by human rights groups.

Speaking at a summit in Brussels on Friday, Italy's far-right Prime Minister Giorgia Meloni warned there may be a "migratory wave" towards Europe if Tunisia's political and economical situation does not stabilise.

Tunisia is currently facing its worst financial crisis after negotiations for a loan with the International Monetary Fund (IMF) stalled.

The US Secretary of State Antony Blinken has also warned that Tunisia urgently needs to reach a bailout deal with the IMF.

Tunisia has also faced significant political challenges since July 2021 when Mr Saied seized most powers, shut down parliament and moved to rule by decree.

Source: VOA
 
Bara tajiri kushinda mabara yote lakini kukosa uongozi ndio kiini cha matatizo yote haya ya watu kufia baharini wakijaribu kuzamia Ulaya ambayo ni bara maskini sana ukilinganisha na Afrika.
 
Takriban wahamiaji 29 wamefariki baada ya boti mbili kuzama katika pwani ya Tunisia zikipishana saa chache tu, maafisa wanasema.

Wahamiaji hao wa kusini mwa jangwa la Sahara walikuwa wakijaribu kuvuka bahari ya Mediterania kuingia Italia. Kumekuwa na msururu wa matukio ya kuzama kwa boti za wahamiaji katika pwani ya Tunisia katika siku chache zilizopita, zikiwemo nyingine tano kuzama katika siku nne zilizopita.

Haya yanajiri baada ya Tunisia kuanzisha kampeni dhidi ya wahamiaji wa Kiafrika wasio na vibali. Wakati huo huo, maafisa wa Italia katika kisiwa cha Lampedusa wanasema wamezidiwa, baada ya rekodi ya wahamiaji 2,500 kuwasili katika saa 24 zilizopita.

Waziri Mkuu wa mrengo wa kulia wa Italia, Giorgia Meloni, ameonya kuwa Ulaya iko hatarini kuona wimbi kubwa la wakimbizi wakiwasili kwenye ufuo wake.

Tunisia imekuwa kitovu cha wahamiaji wanaotaka kufika Ulaya, huku takwimu za Umoja wa Mataifa zikionyesha wahamiaji wasiopungua 12,000 waliingia Italia mwaka huu wakiondokea Tunisia. Katika kipindi kama hicho mwaka jana, wahamiaji walioingia Italia walikuwa 1,300 tu.

Sources Via BBC Swahili
 
Vifo vinatokea kila leo lakini hao wahamiaji wamekuwa si wenye kuogopa yaani akili zao zinawaza tu kufika Ulaya.

maisha ni kuTake risk dada angu [emoji52]
hapo asilimia kubwa utakuta ni wanaume....imani na nia zao juu ya kufanikiwa zilikua zipo ulaya.

nawaelewa, ila pole yao sana.
 
maisha ni kuTake risk dada angu [emoji52]
hapo asilimia kubwa utakuta ni wanaume....imani na nia zao juu ya kufanikiwa zilikua zipo ulaya.

nawaelewa, ila pole yao sana.
Kibaya zaidi kinachowapeleka kule sio pesa, maana kama ni pesa hata walipotoka zipo nyingi tu..., wanchofuata kule ni mademu wa kizungu, aje mtu abishe hapa, wanaume tunajuana bhana..
 
Kibaya zaidi kinachowapeleka kule sio pesa, maana kama ni pesa hata walipotoka zipo nyingi tu...
Duh!! Kumbe ndio hivyo!!!! Mimi nikadhani wanafata pesa, kama mademu mbona mademu wa kizungu hawana cha kuvutia kama hawa dada zetu wa kiAfrica!!!

risk zote hizo sababu tu ya mademu...aisee! [emoji2305][emoji2]
 
maisha ni kuTake risk dada angu [emoji52]
hapo asilimia kubwa utakuta ni wanaume....imani na nia zao juu ya kufanikiwa zilikua zipo ulaya.

nawaelewa, ila pole yao sana.
Kweli usemacho ndugu yangu. Japo inasikitisha wanavyokufa kila leo tena sio kwa uchache.

Ila tuwape tu pole.
 
Tuache kusema imigrants bali tuseme dini zao. watu wa gambia,Nigea,Chad, Guinea conacry, somalia na eritrea ndio wengi wao wanaozikwa hapo kisiwani lampo dusa kilimita 92 kutoka Italia.
 
maisha ni kuTake risk dada angu [emoji52]
hapo asilimia kubwa utakuta ni wanaume....imani na nia zao juu ya kufanikiwa zilikua zipo ulaya.

nawaelewa, ila pole yao sana.
Njooni kwangu wote mnaoelemewa na mizigo. Nira yangu ni raini hii injiri hawa jamaa wanaitumia vibaya!
 
Kwahiyo unabisha.., angalia waTz kama akina Hussein Machozi ndio utajua lengo ni nini?
Lengo ni maisha mazuri

Hapa bongo tu mtu akiwa ulaya Au amerika ata SA una hisi ameyapatia maisha bila kujali ana ishije huko alipo

Watu wana Zamia kutafuta maisha mazuri

Wazazi wengi wa wakimbizi kutoka afrika wapo walioa waafrika wenzao na wengine walienda na wake zao na wakazaa huko

Mifano ni mingi kama golikipa wa Senegal 🇸🇳

Kama vijana walio wakilisha mataifa ya Spain na mwingine Ghana

Wote hao ni wakimbizi walio kimbia nchi zao kwa njia mbalimbali

Wapo wazazi wa baloteli walio enda kumuasili kwa familia ya kizungu

Wanacho enda kutafuta ni maisha mazuri, huduma bora nk ambazo wana hisi Au kwa uhalisia ni ngumu kuzipata nyumbani afrika

Wasomali... wa Ethiopia wana Zamia SA makontena kwa makontena, una niambia wana enda kutafuta mademu wa kizungu?

Ndio maana jamaa amekujibu kwa mzaha kuwa UTOTO RAHA

Yani kiboti kama hicho kikate wimbi za Dsm mpaka Zanzibar na hilo rundo la watu??

Hizo Azam boats/ferries wimbi lake tuna lipata vyema kabisa...!

Wavuvi wa baharini waulize misuko yao huko...

Achana na bahari ikiwa imenuna/Gubu...!
 
Lengo ni maisha mazuri

Hapa bongo tu mtu akiwa ulaya Au amerika ata SA una hisi ameyapatia maisha bila kujali ana ishije huko alipo

Watu wana Zamia kutafuta maisha mazuri

Wazazi wengi wa wakimbizi kutoka afrika wapo walioa waafrika wenzao na wengine walienda na wake zao na wakazaa huko

Mifano ni mingi kama golikipa wa Senegal [emoji1211]

Kama vijana walio wakilisha mataifa ya Spain na mwingine Ghana

Wote hao ni wakimbizi walio kimbia nchi zao kwa njia mbalimbali

Wapo wazazi wa baloteli walio enda kumuasili kwa familia ya kizungu

Wanacho enda kutafuta ni maisha mazuri, huduma bora nk ambazo wana hisi Au kwa uhalisia ni ngumu kuzipata nyumbani afrika

Wasomali... wa Ethiopia wana Zamia SA makontena kwa makontena, una niambia wana enda kutafuta mademu wa kizungu?

Ndio maana jamaa amekujibu kwa mzaha kuwa UTOTO RAHA

Yani kiboti kama hicho kikate wimbi za Dsm mpaka Zanzibar na hilo rundo la watu??

Hizo Azam boats/ferries wimbi lake tuna lipata vyema kabisa...!

Wavuvi wa baharini waulize misuko yao huko...

Achana na bahari ikiwa imenuna/Gubu...!
Hajielewi,,Ukute yuko dodoma huko hata mawimbi hana uzoefu nayo
 
Back
Top Bottom