Odas Aron ni mratibu wa elimu ya Afya jijini Mbeya anasema Mpaka kufikia sasa watu 345 wameugua ugonjwa huo katika halmashauri ya jiji la Mbeya huku wakiendelea kupata matibabu kwenye kambi maalumu zilizotengwa.
Nilikaa siku 4 kwenye moja ya hoteli hapo za hadhi ya juu kabisa lakini nilipata food poisoning isiyomithirika...nadhani jitihada za usafi zinapaswa kuongezwa