Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

Watu wanajua kuzusha sana bongo, walikuwa wanasema ni wanajeshi Sasa hao ni.wanajeshi wa wapi? Au huyo mmoja kuvaa likitambaa lenye rangi zinazofanana na Jeshi?Wahalifu huita mara nyingi KIONGOZI wao Kamanda, afande, hivyo kutaka neno afande haimaanishi ni afande kweli. Wapate adhabu Kali ili iwe fundisho kwa wengine maana kwa ujinga walioufanya tayari umeleta madhara kwa wasiohusika na kwa Taifa kwa ujumla
 
Hawa ndio wavuta Bangi au ni wanajeshi?

MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Kamuulize Askari wa Jeshi baada ya Askari wa Jeshi kufanya kitendo cha kudhalilisha Jeshi na raia wake, Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda raia sio kuwatesa raia sasa hii imekuaje kuaje? Swali unalo nipe Jibu
 
Hii kesi siyo ya upelelezi kuendelea, ilitakiwa tarehe itakayofuata hukumu isomwe
 
Unaelewa nini ukisikia Mt:0000778999 na c :12368900!?
 
Na hizo namba zilizotajwa ni namba za mitihani?
 

Kwani unajua maana ya JESHI? Kuna MAJESHI mangapi nchi? Unavyosema Kiongozi wa Majeshi ya ulinzi na usalama wanamaanisha nini?

 
Afu jamaa shabiki wa arsenal daah wanatudharirisha hawa afu millardayo mpumbavu sana naona kapandisha video youtube then kaifuta jamaa mjinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…