Wanasema mtu akitaka kutapeliwa hata umshauri vp haelewKuna anko wangu mmoja katolewa huko kijijini kaletwa hapo mbezi eti kuna kazi na kaja kimya kimya, kufika hapo akaambiwa anatakiwa atoe pesa Sh M 4.5. Ndio akaanza kunitafuta ananielezea hizo habari, nikamwambia unatapeliwa kashupaza shingo nimenyamaza kimya.