johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Serikali imesema zaidi ya watu 900,000 ( laki tisa) wameshafungiwa line zao za simu baada ya kushindwa kujisajili kwa alama za vidole.
Serikali imesema zoezi la ufungaji simu limegawanywa katika makundi matatu;
Kundi la kwanza ambao tayari wameshafungiwa ni wale wenye Vitambulisho vya taifa lakini hawajavitumia kusajilia simu.
Kundi la pili ni wale waliotumia vitambulisho vyao vya taifa kusajili line za simu lakini hawajafanya usajili kwa alama za vidole
Kundi la tatu na la mwisho ni wale wasiokuwa na vitambulisho vya taifa wala namba za Nida.
Source BBC Dira ya Dunia!