johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wametoa tamko gani bwashee?Labda CDM wasingetoa tamko kungetolewa grace period ya nyongeza
Wewe uko kundi la pili, utafungiwa soon!Mimi bado nadunda hewani, NIDA walinitumia namba ila sijaenda kutia dole.... napanga kuwafungulia mashtaka kwa kunitishia amani na kisha kushindwa kuzima line yangu.
Wewe uko kundi la pili, utafungiwa soon!
Mimi mbona bado sijafungiwa. Na kitambulisho ninacho?,,hebu wafanye haraka maana nadaiwa songesha,branch na mpower
Si kweli .Serikali imesema zaidi ya watu 900,000 ( laki tisa) wameshafungiwa line zao za simu baada ya kushindwa kujisajili kwa alama za vidole.
Serikali imesema zoezi la ufungaji simu limegawanywa katika makundi matatu;
Kundi la kwanza ambao tayari wameshafungiwa ni wale wenye Vitambulisho vya taifa lakini hawajavitumia kusajilia simu.
Kundi la pili ni wale waliotumia vitambulisho vyao vya taifa kusajili line za simu lakini hawajafanya usajili kwa alama za vidole
Kundi la tatu na la mwisho ni wale wasiokuwa na vitambulisho vya taifa wala namba za Nida.
Source BBC Dira ya Dunia!
Nilisikia redioni kuwa walitoa tamko siku ya Jumamosi 18.1.2020 Rais atazame upya suala la usajili wa line na kwamba wanaona kama mkokoteni umetangulizwa mbele ya punda badala ya kuwa nyuma ya pundaWametoa tamko gani bwashee?
Serikali imesema zaidi ya watu 900,000 ( laki tisa) wameshafungiwa line zao za simu baada ya kushindwa kujisajili kwa alama za vidole.
Serikali imesema zoezi la ufungaji simu limegawanywa katika makundi matatu;
Kundi la kwanza ambao tayari wameshafungiwa ni wale wenye Vitambulisho vya taifa lakini hawajavitumia kusajilia simu.
Kundi la pili ni wale waliotumia vitambulisho vyao vya taifa kusajili line za simu lakini hawajafanya usajili kwa alama za vidole
Kundi la tatu na la mwisho ni wale wasiokuwa na vitambulisho vya taifa wala namba za Nida.
Source BBC Dira ya Dunia!
Asante kwa ufafanuziHizo ni less active lines na nyingine hazipo hewani kabisa
. kuna ambazo simu zake liliibiwa na mhusika haku renew
. kuna ambazo ni za wageni walikuja kwa muda tu na wameshaondoka
. kuna zile za matapeli wa ile pesa itume kwenye laini hii
. kuna zile ambazo mtu mmoja anamiliki zaidi ya laini 3
. kuna zile ambazo zinatumiwa kwenye vifaa kama car track, iPads, ving'amuzi nknk.
. kuna zile ambazo wamiliki wake hawana simu tena wanatembea na laini tu
Kama tukiamua kufanya utafiti wa kweli tutagundua kuwa nyingi za laini zilizofungiwa ni hizo hapo juu na nyingine ni laini mfu zisizo na madhara kwa kampuni.. Unakuta laini
-haiwekwi vocha
-haifanyi miamala
-haitumiki mara kwa mara
Laini kama hizi zipo kwa ajili ya kuongeza number tu ya wateja lakini haina faida yoyote kwakuwa hata haipigi customer care
Jr[emoji769]
Asante kwa ufafanuzi
Hamna kitu kivipi bwashee?!Niliongea na boss mmoja wa Vodacom nikamuuliza mbona line ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole hazijafungwa? Akaniambia sisi kama Vodacom hatuwezi kufunga line ya mteja maana tunafanya biashara, hiyo kazi kufungia line ni ya tcra, hapo nikajua Hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh......wapare wabishi sana!Hizo ni less active lines na nyingine hazipo hewani kabisa