Watu ambao haipiti saa wanaongewa sana midomoni mwa watu

wamisako

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
917
Reaction score
871
1. Bashite
2.Malinzi
3.kim
4.trump
5...
Ongeza wako ambae na ww hupitishi siku unamwongea.
 
Mh. Makonda

Na

Mh. Magufuli

Oyeeeeeeee

Viongozi jembe na wanaopendwa sana na wananchi wengiiiii, yaani haijawahi kutokea.
 
Ila wewe dada haki ya nani kila siku nida hii ndio unakuwa JF online wewe ni mlinzi nin dada yangu au mitaa yako ni sinza mida hii daah sikuwezi kwa kukesha coco.....
 
Kwamba ni wenye kumaliza mnato sio?aah pohamba acha hizo bro
 
Ila wewe dada haki ya nani kila siku nida hii ndio unakuwa JF online wewe ni mlinzi nin dada yangu au mitaa yako ni sinza mida hii daah sikuwezi kwa kukesha coco.....
Huyu dada sijuwi kwann anakuaga wapi mida hii?
 
Mh. Makonda

Na

Mh. Magufuli

Oyeeeeeeee

Viongozi jembe na wanaopendwa sana na wananchi wengiiiii, yaani haijawahi kutokea.
Team Bashite VYETI FEKI upo.kumbe naona unatetea bado wavunja sheria kama Kumiliki magari ya wauza madawa kwa kusingiziwa dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…