Watu ambao hufanya ukatili wa kuua, kutesa na kudhulumu, wao huwa hawapendi wafanyiwe hayo mambo

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Hili jambo huwa linasababishwa na MTU kukosa vitu viwili

@ Sympathetic
@ Empathetic

MTU akikosa huruma ataiba ,atadhurumu n.k

Na MTU akikosa kuhisi hisia za MTU mwingine na Ku-feel Kama anavyo-feel au kuvaa viatu cya mwingine basi ataua, atatesa na kuangamiza.

Hivyo majambazi , wote , makatili wazee wa kudhulumu n.k wamekosa hivyo vitu viwili.

@ Empathetic
@ Sympathetic

Na mwisho wakishatekeleza huo ubaya wao, huwa wanakimbia kwa kuhofia na wao wasijekufanyiwa kama walichofanya.
 
ndio maana wahenga walisema..

mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, hasira hasara na majutroo ni mjukuu"....

lazima ukamkute segereaaaaa au Isanga 🐒
 
Mimi najiuliza tu, wale wauaji wanaoua kwa kuchinja binadamu wenzao kama kuku, mfano wa mauaji ya dada wa Bilionea Msuya, ni binadamu wenye roho za aina gani?
 
Ndo hao waliokosa
@ Empathetic
@ Sympathetic
 
Back
Top Bottom