[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kila la kheri mkuu
Tutafutane tuuHello wana chamvi, tangu nijiunge na mtandao the huu wa Jf nimekuwa nikifatilia baadhi ya thread za watu na hawa ndo nilitaman kuonana nao live (mubashara)
1.Demiss
2.Mzigua
3.Bujibuji
4.Mshana Jr
5.Miss natafta.
So kama upo tayr plz nipe appointment yako.
Mkikutana jamani naomba niwe kifesi wenu wakunyumba niwatwange photoNishafika wakunyumba
Na wewe ukiwa wapi?Mkikutana jamani naomba niwe kifesi wenu wakunyumba niwatwange photo
Naaman huyu MTU aache utoto wakishambaa km ujanielewaa poleeUna maana gani
Ukikubali nikuwe kifesi wako lazima nikuje wakunyumbaNa wewe ukiwa wapi?