Watu App mna huduma mbovu sijawahi kuona kuanzia customer care mpaka app yenu ni ovyo

Mboju

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
283
Reaction score
727
Kama mpo humu basi hii inawahusu kwanza customer care sijui mnaweka wanawake single maza maana wana kauli mbaya pia wa kiume nao hovyo kabisa sijui mme weka wale wenye misongo ya mawazo

Kitu kingine unamuwekeaje limit ya kufanya malipo kwa kutumia no nyingine are u serious yaani nataka kufanya malipo ila unaniwekea limit yaani ningekuwa najua kuflash haya masimu yenu ningewapigisha hasara maana hamfai huduma mbovu kila kitu kibovu ningeachia tusi ila basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…