Watu hamjanielewa naposema "Mwanamke ni chombo Cha Starehe" Sasa nieleweke hivi !!.

Lengo kuu la kuwa na mwanamke ni moja tuu mengine yote yanabebwa na hilo moja. Funua maandiko unavyofunua lakini STAREHE utakuta linajitokeza mara nyingi, zaidi utakuta linabadilika badilika lakini maana inabaki pale pale.
 
Maana inabaki palepale !!!
 
Nakubaliana na hoja yako kwa asilimia 100%.
 
Rremember, this kejeli includes your MOM as a manamke chombo cha starehe
 
carlos The Jackal😄
 
Umesema kweli lakn umewasilisha Kwa lugha Kali Sanaa[emoji23][emoji23]
 
Rremember, this kejeli includes your MOM as a manamke chombo cha starehe
Em tupunguze emotion kwenye fact.. mama zetu nao ni wanawake.. HIZI SIO KEJELI KWAO.. NI HESHIMA KWAO.. NDIPO ILIPO NGUVU YAO.

Ukiplay vizuri kumstarehesha Mumeo kwenye hayo majukumu aliyoyataja hapo juu, utakuwa mke mwenye nguvu. Hivyo hivyo kwa mama zetu.

Kama walidumu katika ndoa na kutuzaa basi walijitambua kuwa wao wapo kwaajili ya kuwastarehesha baba zetu.

Kama waliachika, yawezekana hawakujitambua kuwa wapo kwaajili ya kwaajili ya kwastarehesha baba zetu.
 
Wanawake achen kufungua accnt fake kujifanya wanaume,ccm imeharibu akili za mademu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…