Watu hawa ni hatari kwa mkeo/ mchumba/ girl friend

Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.

mahouse boy wenyewe hawafai.
 
kuna mwalimu mstaafu anayewafundisha watoto wako wa kike/kiume tuition kibarazani kwake/kwako
 
Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.

ASSUMPTION ONLY , if this happen to your wife, not to every woman.
 
halafu wasambaa wote kwani tanga kuna chuo cha kuosha na kupaka wanawake rangi?


Daah, Bebii yamekukuta nini.... naona unamwaga meaeksipiriensi yako......
dah..... hope ulitoa kwa hiyari na wala hujutiii.....
 
Umesahau mdogo wako wa kiume.Shemeji yake mkeo.
 

......Anamegwa...!!
 
mahouse boy wenyewe hawafai.
<br />
<br />
hawa wabaya sana hawa, ni nyoka mwenye miguu huyu.
Kuna jamaa yangu mmoja alimbamba houseboy akijisifia kwa maza house eti dudu yake ina matawi ndio maana housegal wa jirani kamganda.
 
<br />
<br />
hawa wabaya sana hawa, ni nyoka mwenye miguu huyu.
Kuna jamaa yangu mmoja alimbamba houseboy akijisifia kwa maza house eti dudu yake ina matawi ndio maana housegal wa jirani kamganda.

Kweli kabisa hawa hawafai hata kidogo..
 
Dah! mi hizi habari za kumegewa nikisikia mwili wote unakufa ganzi...na hawa madereva bajaji ndo balaa! unakuta wife akichukua bajaji ni hiyo hiyo kudadeki, hata ikiwa imekula kichwa anaisubiri...alafu akija unakuta anaendesha bajaji kakaa upande upande!
 


Acha kabisa haya(kaugonjwa ka kumegwa) mambo usiombee mkeo yampate maana ni hatari sana sana,halafu jamaaaa ndio ua wanajifanya mafundi wanataka hadi kumvua mtoto nguo ya mwisho (ya kwanza kuvaliwa)wavue wao walivyo kuwa wash*nzi )anamvua huku akiwa napiga piga bodi kwa mbali yaaani anakuwa aamini kabisa kile kitu kuwa anakula mke wa bosi)
 
wapole,
wanasiasa,
muuza duka,
wafanyakazi wa Tanesco
masela[hawa wanabaka na kupiga mtungo]
mashangingi[hawa wanawarubuni na kuwauza kwa mabwana wengine kimya kimya]
mapadri/wachungaji,masheikh na maustadh
 
muuza bucha analipa bwana daily maini dah

Bebii umenishtua bana.. Maana nyumba yangu ndogo kila nikienda nakaangiwa maini, nikiuliza vipi naambiwa muuza bucha ametoa bonasi!!!!!!
 
hapo sasa naona kila mmjo ni mbaya je na mwalimu? dactari? ofisi? kunaninin?
 
umesahau muuza vochaa dukani kwa mangiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…