Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.

umesahau madereva wa ofisini. Mke boss, ana dereva anayemfuata asubuhi na kumrudisha jioni.

Ukuzingatia foleni na mnakua wenyewe, Mke anamzoea dreva kuliko .....

Bujubuji mbona hujiamini?

kama una mapungufu hao uliwataja lazima wakumegee jitahidi kufanya mazoezi acha kuendekeza bia na kiti moto au mbuzi.

Pata picha... Mkeo mbunge halafu wewe ni baba wa nyumbani HOUSE HUSBAND

Mpaka rangi,

Mzaire wa saluni,

taxi driver,

muuza genge,

muuza chips,

mwalimu wa mazoezi

yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.
halafu wale jamaa wa mwenge hawataki kupaka rangi tu eti hadi wasugue mguu mpaka juu hata huwa sielewi ukikataa upakwi rangi sijui kuna uhusiano wa miguu na kucha?
mwe...unaweza kujikuta duniani mtu kama wewe uko mwenyewe tuAmege tu ila nisijue...
ukimpa mke wake ampeleke sehemu hafiki.. ila pesa itafikaUmemsahau Jirani yako NGONYANI-Mngoni toka songea!
muuza bucha analipa bwana daily maini dah

aaaaaaaaah jamani ina maana hao wake/girlfriends zenu ndo mmewashusha hivi? kwamba hawana uaminifu kiasi hiki mmmmmh

kuna pia fundi umeme,

muuza bucha,

House boy!!

Umesahau mdogo wako wa kiume.Shemeji yake mkeo.